Jumatatu, 7 Julai 2014

Diamond Platnumz ft Iyanya_Bum Bum (Official music Video) & Mdogo mdogo (Official Music Video)

    Msanii maarufu zaidi toka pande za (EAST) nchni Tanzania "Diamon Platnumz"
amedondosha  video zake mbili  mojawapo ni ile ya ''mdogo mdogo'' ambayo audio yake ilishatoka apo mwanzoni , ambayo inaendana na asili ya kiafrica hususani Tanzania.
    Pia star uyo amedondosha video nyingine ambayo ngoma ya video hiyo amemshirikisha star
toka Nigeria ''IYANYA'' jina la wimbo ni (BUM BUM) , video hiyo imefanyika London na dr. moe mussa. 

Ijumaa, 4 Julai 2014