Msanii wa kitanzania anaesifika kwa utanashati kwa style zake za kuvaa (muonekano)
kutikea pande za bongo ''JUX'' anaetamba na ngoma yake ya ''NITASUBIRI'' ameachia rasmi
video ya ngoma hiyo ambayo video yake kafanyia nchini china na director wa huko.