Diamond platnumz msanii maarufu wa kimataifa tokea pande za tandale -Dar es salaam-TANZANIA.
Katika safari yake ya kutoka kimuziki alishawahi kujaribu kuimba nyimbo ya taarabu na alishawahi omba
nafasi ya kaz katika kundi moja la taarabu nchini tanzania lakini alibaniwa na akuweza pata nafasi.
Ila kwa bahati mzuri nyota yake ilianguka kwenye bongo fleva .
Katika kipndi kmojawapo cha radio Diamond Platnumz amedhihilisha kuwa hata kwa upande wa taarabu yumo.HII NI VIDEO INAYOMUONYESHA MSANII HUYU AKITIRIRIKA MISTARI YA TAARABU ....!!