Tokea BSS mpaka tuzo 3(#KTMA 2013) Anaitwa Kala Jeremia.
Sasa hivi ametoka na kibao chake kingine kinachojulikana kwa jina la ''Simu ya Mwisho''
aliyomshirikisha msanii mwenzake wa Hip Hop ''Ney Wamitego''
Na hii ni Brand New video Toka kwa #Kala ''ITAZAME".................