Jumamosi, 28 Juni 2014

NEW VIDEO- BEN PO ft JOHN MAKIN_UNANICHORA

  Mkali wa rnb Bongo aliyewahi kutamba na ngoma kama Samboira,Pete,Jikubali n.K
Anaejulikana kama BEN POL , Kwa sas anatamba na kibao cha ''UNANICHORA'' aliyomshirkisha msanii
wa Hip HOp toka pande za kaskazini (MWAMBA WA KASKAZINI) JOHN MAKINI. Kwa sas kichupa cha kazi hiyo jimetoka sas chukua mda kuitazama hapa sasa hivi.
                                                   Ben Pol ft John Makini_Unanichora

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni