Jumamosi, 28 Juni 2014
BRAND NEW VIDEO- SHETT ft DIAMOND PLATNUMZ_KEREWA
Shetta ft Diamond ,ndiyo walewale wa ngoma ambayo ilitamba hapo nyuma (NIDANGANYE)
Wanakuja tena na ngoma ya kerewa . Ngoma ya SHETTA kamshirikisha mtu mzima DIAMOND PLATNUMZ.
Ngoma inakwenda kwa jina la KEREWA . kichupa hiki kimefanyika nchini AFRICA KUSINI,
BRAND NEW VIDEO- shetta ft diamond platnmz_kerewa
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Chapisho Jipya
Taarifa za zamani
Nyumbani
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni