amedondosha video zake mbili mojawapo ni ile ya ''mdogo mdogo'' ambayo audio yake ilishatoka apo mwanzoni , ambayo inaendana na asili ya kiafrica hususani Tanzania.
Pia star uyo amedondosha video nyingine ambayo ngoma ya video hiyo amemshirikisha star
toka Nigeria ''IYANYA'' jina la wimbo ni (BUM BUM) , video hiyo imefanyika London na dr. moe mussa.

.jpg)




